Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Jaji na Balozi
Mstaafu Mheshimiwa Hamis Amiri Msumi kuwa Mwenyekiti wa BARAZA LA
MAADILI.
Taarifa iliyotolewa leo, Jumanne, 26
Februari, 2013 jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Balozi
Ombeni Y. Sefue, inasema kuwa uteuzi huo ulianza Februari 18, mwaka
huu, 2013
No comments:
Post a Comment