Meneja wa
Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kulia) akikata nyama kuashilia
uzinduzi wa shindano la Safari Lager Nyama Choma linalotammbulika kwa
jina la “Safari Lager Nyama Choma Competition 2013”lililozinduliwa TBL
jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Jaji Mkuu wa shindano hilo, Douglass
Sakibu.
Meneja wa
Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (katikati) akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa shindano la
Nyama Choma 2013 kwa Bar mbalimbali lijlikanalo kama ‘’Safari Lager
Nyama Choma Competition 2013” liliofanyika TBL jijini Dar es Salaam
.Kulia ni Jaji Mkuu wa shindano hilo, Douglass Sakibu na mratibu wa
Shindano hilo, Peter Zacharia.
No comments:
Post a Comment