Meneja Mawasilianao wa Vodacom Tanzania, Rukia Mtingwa (kushoto)
akimkabidhi fedha kiasi cha shilingi Milioni 5 mshindi wa Promosheni
ya “MAHELA” Ofisa wa Polisi kanda maalumu ya jijini Dar es Salaam
Bi.Liberata Kaligita. Aliejishindia kwenye promosheni hiyo inayoendeshwa
na Vodacom Tanzania, zaidi ya shilingi milioni 400 zinaendelea
kushindaniwa, katikati ni Ofisa Polisi Bethuel Sumari.
Meneja Mawasilianao wa Vodacom Tanzania, Rukia Mtingwa (kushoto) akimsisitiza jambo mshindi wa Promosheni ya “MAHELA”ambae
ni dereva wa Bajaji Mbezi Kimara Bw. Paskal Susuma (kulia)wakati wa
kumkabidhi pesa zake kiasi cha shilingi Milioni 1 aliyojishindia
katika promosheni hiyo inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, zaidi ya
shilingi milioni 400 zinaendelea kushindaniwa, katikati ni Meneja
uhusiano wa kampuni hiyo Bw. Matina Nkurlu.
Mshindi
wa Promosheni ya “MAHELA” Ofisa wa Polisi kanda maalumu ya jijini Dar
es Salaam Bi.Liberata Kaligita akishuhudiwa na Meneja Mawasilianao wa
Vodacom Tanzania, Rukia Mtingwa (kushoto) pamoja na Ofisa Polisi Bethuel
Sumari, akihesabu fedha zake kiasi cha shilingi Milioni 5
alizojishindia kwenye promosheni hiyo inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,
zaidi ya shilingi milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.
Mshindi wa Promosheni ya “MAHELA” Ofisa wa Polisi kanda maalumu ya
jijini Dar es Salaam Bi.Liberata Kaligita alieshikilia pesa akiongea na
waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa kukabidhiwa pesa zake
kiasi cha shilingi Milioni 5 alizojishindia kwenye promosheni hiyo
inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,kushoto ni Meneja Mawasilianao wa
Vodacom Tanzania, Rukia Mtingwa.Jumla ya shilingi milioni 400
zinaendelea kushindaniwa.
Baadhi ya washindi wa Promoshesheni ya “MAHELA”
inayoendeshwa na Vodacom Tanzania wakizungumza na waandishi wa habari
hawapo pichani mara baada ya kukabidhiwa pesa zao leo kwenye makao makuu
ya Vodacom Tanzania Mlimani city jijini Dar es salaam. Zaidi ya
shilingi milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.
No comments:
Post a Comment