Thursday, February 14, 2013

Majina ya Walimu Wapya wa Shule za Msingi waliopewa Ajira ya Ualimu Serikalini Mwaka 2012-2013 Majina yao Haya Hapa

 
Walimu wote waliopewa ajira ya Ualimu Serikalini ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, wanatakiwa kuripoti tarehe 01 Machi 2013 kwenye Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri walikopangiwa kwa ajili ya kupangiwa Vituo vya kazi. HAKUNA MABADILIKO YA VITUO VYA KAZI YATAKAYOFANYWA. Mwalimu anatakiwa kwenda na vyeti vyake halisi vya taaluma na cheti cha kuzaliwa pamoja na nakala zake.Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo tarehe 9 Machi 2013 atapoteza nafasi hiyo.


NB: MAJINA YA WALIMU WALIOKWISHA AJIRIWA WARUDI KWA WAAJIRI WAO BOFYA HAPO CHINI  KUPATA MAJINA YOTE

icon AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI MWAKA 2012/13 (1006.83 kB)

No comments:

JETOUR G700 YAJITOKEZA KWA UWEZO MKUBWA KWA MAZINGIRA YA AFRIKA

  Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam JETOUR Tanzania imezindua rasmi JETOUR Club pamoja na kutambulisha magari mapya ya JETOUR G700 na F700, i...