Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ukumbi mkubwa wa mikutano
multi-purpose conference Hall uliopo mtaa wa Shaaban Robert jijini Dar
es Salaam. Ukumbi huo wa Serikali upo chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa. Ujenzi wa Ukumbi huo uko katika hatua za mwisho
na Rais Kikwete mbali na kuridhishwa na hatua hiyo ametoa maelekezo kwa
wahandisi kutenga sehemu maalumu kwa Wapiga picha na waandishi wa
habari ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi. Rais Kikwete pia
ameelekeza wahandisi kuweka viti na meza zinazohamishika ili kukidhi
matakwa ya mikutano na vikao vya aina mbalimbali(picha na Freddy Maro)
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ukumbi mkubwa wa mikutano
multi-purpose conference Hall uliopo mtaa wa Shaaban Robert jijini Dar
es Salaam.Ukumbi huo wa Serikali upo chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa.Ujenzi wa Ukumbi huo uko katika hatua za mwisho
na Rais Kikwete mbali na kuridhishwa na hatua hiyo ametoa maelekezo kwa
wahandisi kutenga sehemu maalumu kwa Wapiga picha na waandishi wa
habari ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi.Rais Kikwete pia
ameelekeza wahandisi kuweka viti na meza zinazohamishika ili kukidhi
matakwa ya mikutano na vikao vya aina mbalimbali(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment