Rais Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine akikata
utepe kuzindua ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za
Tanzania, Uganda na Burundi Bw Phillipe Dongier, wakifunua kitambaa cha
jiwe la msingi katika uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipena mkono na mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za
Tanzania, Uganda na Burundi Bw Phillipe Dongier, muda mfupi baada ya kufunua kitambaa cha
jiwe la msingi katika uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Bw. Phillipe Dongier akitoa hotuba
kwa kiswahili fasaha wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma Januari 4, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya
Muungano eneo la Kibaoni wilayani Uvinza, Kigoma, akiwa njiani kuelekea
mjini Kigoma, akitokea kukagua ujenzi wa daraja la Mto Malagarasi
No comments:
Post a Comment