Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akiwapa pole Dr Kimei(katikati) na dada yake.
Pichani ni Mawaziri wakuu wastaafu Mh Edward
Lowassa na Mh Fredrick Sumaye wakijumuika na viongozi wengine katika
msiba wa mama yake mkurugenzi mtendaji mkuu wa CRDB, Dr.Charles Kimei mwishoni
mwa wiki huko Komakundi Marangu Mkoani Kilimanjaro.
No comments:
Post a Comment