Wadau
wetu wa Fullshangweblog mtandao wetu hauko hewani toka jana kutokana na
matatizo yaliyojitokeza wataalamu wetu wanafanya kila juhudi ili
kutatua tatizo hilo kwa haraka iwezekanavyo tunawaomba radhi kwa
usumbufu utakaojitokeza wakati huu ambapo tunashughulikia tatizo hilo na
wakati wowote tutarudi hewani
Tunawaomba
radhi pia wadau wetu benki za NMB, NBC, kampuni ya bia ya Serengeti
Breweriers, Bayport Financial, NHIF na Wilna International tunaomba
uvumilivu wenu wakati tunashughulikia tatizo hilo.
By John Bukuku
Mkurugenzi.
No comments:
Post a Comment