MSANII OMMY DIMPOZI KUTUA MISS REDDS TABORA 2013/14 |
Sarahy Paul mshindi wa mwaka jana 2012 |
Mashindano
ya Miss Redds Tabora kukujia tena kwa sura pevu zaidi, hii ni baada ya
kufanyika mashindano kama haya mwaka jana na kufanikiwa kwa kiasi
kikubwa, sasa ni zamu nyingine yaliyonuwiwa kuwa na ubunifu wa kutosha
kwa maandalizi kabambe yaliyofanywa tayari kuanzia sasa.
Nikiwasiliana
kutoka SPAIN BARCELONA na muandaaji wa mashindano haya kwa miaka minne
(4) sasa mfululizo toka akabidhiwe kutoka kwa muandaaji wa zamani Mbunge
wa sasa mjini Tabora Mh. Rage chini ya V.O.T FM Mgalula Fundikira
ambaye kwasasa ni wakala aliyepewa tena idhini ya kuyaandaa shindano
hili kutoka kwa LINO INTERNATIONAL wenye hati na idhini ya kuandaa
mashindano haya toka ngazi za vitongoji hadi mashindano makubwa ya MISS
TANZANIA.
"....uwakala wangu unaendelea baada ya kuombwa na
LINO INTERNATIONAL kuandaa tena mwaka
LINO INTERNATIONAL kuandaa tena mwaka
huu na sasa hivi na msanii Ommy Dimpoz na msanii atakaye mchagua yeye Dimpoz watakuwepo kutoa burudani ya kutosha..."
Alisema Mgalula akiwa Spain Barcelona.
Alisema Mgalula akiwa Spain Barcelona.
*************
Kuhusu
form za ushiriki zitatangazwa mapema wiki ijayo wapi zitapatikana na
taratibu zote za mashindano utapata kuzifahamu vizuri.
TIMIZA NDOTO ZAKO ZA KUIBUKA MREMBO WA MISS REDDS TABORA.
Nani ungependa awe msanii atakaye chaguliwa na Ommy D?
Habari Na http://www.aloyson.com/
Habari Na http://www.aloyson.com/
No comments:
Post a Comment