Mjumbe wa NEC, Lindi mjini, Mama Salma Kikwete akishiriki kucheza ngoma ya Tambiko Chikonje
Mjumbe wa NEC, Lindi mjini, Mama Salma Kikwete akiwasalimiana na wananchi kwenye mkutano wake chikonje
Mjumbe wa NEC, Lindi mjini, Mama Salma Kikwete
akihutubia mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Kineng'ena Kata ya
Chakonji akiwa katika ziara ya kuwashukuru wanachama kwa kumchagua
u-NEC, kukagua na kuimarisha uhai wa Chama wilaya ya Lindi, Feb 16,
2013.
Mjumbe
wa NEC, Lindi mjini, Mama Salma Kikwete akipokea kadi ya Cuf kutoka kwa
mwanachama wa zamani wa chama cha CUF Bahati Athuman baada ya Kuhamia
CCM
Mwenyekiti wa Kamati ya miradi ya Maendeleo ya Jamii
ya TASAF, katika kijiji cha Nanyenje, Bakari Kalulu (kulia) akitoa
maelezo kwa wananchi, baada ya Mjumbe wa NEC, Mama Salma Kikwete
(kushoto) kumtaka kutoa ufafanuzi kwa nini Ujenzi wa shule ya sekondari
ya Kata ulihamishwa kutoka katika kijiji hicho na kupelekwa kijiji
kingine cha jirani. Alisema uamuazi huo ulifanywa ili kutoa kipaumbele
zaidi kujengwa zahanati.
Mjumbe wa NEC, Lindi mjini, Mama Salma Kikwete akizungumza na wana ccm kwenye Ofisi ya CCM Chikonje
Wanachama wapya wa Chikonje Wakila Kiapo
Wasaniii wa ngoma ya Tambiko Chikonje wakifanya vitu vyao
Kina mama wa Kijiji cha Kineng'ene wakifuatilia kwa
makini hotuba ya Mama Salma alipowahutubia wananchi kwenye mkutano wa
hadhara uliofanyika katika kijiji hicho, akiwa katika ziara ya
kuwashukuru wanachama kwa kumchagua u-NEC, kukagua na kuimarisha uhai wa
Chama wilaya ya Lindi, Feb 16, 2013.
Pichaa juu na chini Sura zenye Bashasha zikimsikiliza Mjumbe wa NEC, Lindi mjini, Mama Salma Kikwete
Mjumbe wa NEC, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akimsalimia Fatuma Mohamed ambaye ni Mama yake mdogo, alipopita katika
kijiji cha Nanyanje, akiwa katika ziara ya kuwashukuru wanachama kwa
kumchagua u-NEC, kukagua na kuimarisha uhai wa Chama wilaya ya Lindi,
Feb 16, 2013. katikati ni Hamis Marobona, mume wa Fatuma.
Mjumbe wa NEC, Mama Salma Kikwete akiwa nyumbani
Fatuma Mohammed ambaye ni Mama mdogo wake, alikoamua kumsalimia katika
kijiji cha Nanyanje, akiwa katika ziara ya kuwashukuru wanachama kwa
kumchagua u-NEC, kukagua na kuimarisha uhai wa Chama wilaya ya Lindi,
Feb 16, 2013. Wapili kushoto ni Hamis Marobona, mume wa Fatuma.Picha na
Bashir Nkoromo-Idara ya itikadi na Uenezi-CCM
No comments:
Post a Comment