Washindi wa Castle Lite kutoka Tanzania wakiwa katika pichja ya pamoja nje ya ukumbi.
Mshindi
kupitia Castle Lite Facebook – Edger Marumbo, mwenye T shirt nyeusi akiwa na
kaka yake Christopher marumbo mwenye t shirt ya blue ya mistari. Nyuma yao ni Caroline
Lupilli, aliyevaa koti pink akiwa na dada yake Ellen Lupilli, mwenye kijaketi
cha kijivu na Mshindi
kupitia Choice FM – Eric Massinda, mwenye T shirt ya njano na miwani,
aliyeongozana na rafiki yake Alex Galinoma, mwenye T shirt ya njano
Ukumbi
ulijaa wapenzi wa Castle Lite na Kanye West
Washindi
wa Castle Lite kutoka Tanzania wakipata chakula cha jioni kwenye restaurant
inayoitwa Butchers Shop iliyopo Mandela squire jijini Johannesburg
No comments:
Post a Comment