Monday, February 04, 2013

Jengo la PPF Tower lanusurika Kuteketea kwa Moto Jijini Dar es Salaam


Pichaa Mbili juu ni mwonekano wa sehemu ya juu kwenye mitambo ya mawasiliano iliyopo katika chumba cha 11, kilichopo  juu, mwisho kabisa mwa jengo la minara ya PPF lililopo kwenye makutano ya Ohio/Garden Avenue, katikati ya jiji la Dar es Salaam ikifuka moshii muda mfupi baada ya moto kuwaka
 Mmoja wa askari wa zimamoto akitazama kwa makini moja ya sehemu uliyokua ikitoka moshi na moto  kwenye mitambo ya mawasiliano iliyopo katika chumba cha 11, kilichopo  juu, mwisho kabisa mwa jengo la minara ya PPF lililopo kwenye makutano ya Ohio/Garden Avenue, katikati ya jiji la Dar es Salaam
 Kikosi cha Askari  kikiwa eneola  eneo la tukio ili kulinda mali zisiporwe au kuharibiwa na vibaka.
 
Watu mbalimbali wakiwa wamejaaa wakishangaa jinsi moto ukiwaka kwa juu kwenye sehemu ya juu kwenye mitambo ya mawasiliano iliyopo katika chumba cha 11, kilichopo  juu, mwisho kabisa mwa jengo la minara ya PPF lililopo kwenye makutano ya Ohio/Garden Avenue, katikati ya jiji la Dar es Salaam ikifuka moshii muda mfupi baada ya moto kuwaka leo asubuhi.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...