Spika wa Bunge
laTanzania, Anne Makinda akisakata muziki wa dansi na mbunge wa Singida
Mashariki, Tundu Lissu katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma, mwishoni
mwa wiki.
Spika wa Bunge, Anne Makinda
akicheza muziki na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu
kwenye sherehe za kuuaga na kukaribisha mwaka mpya kwenye Viwanja vya
Bunge Dodoma juzi usiku baada ya kuahirisha kikao cha Bunge.Picha na Fidelis Felix
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment