Mgeni Rasmi,Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akimkabidhi Bwa.Charles Stith ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania cheti chake cha heshima ,mara baada ya kuchangia $ 10,000 kwenye hafla ya kukusanya
kiasi cha fedha zaidi ya shilingi milioni 100 kwa ajili ya kusaidia
matibabu ya Wanawake wenye matatizo mbali mbali,Anaeshuhudia pichani kulia ni Mke wa Makamu wa Rais,Mama
Asha Bilal,aidha katika tafrija hiyo iliyofana sana kiasi cha shilingi
milioni 142 na laki tano zimepatikana usiku huu,ndani ya hoteli ya
Serena,jijini Dar.
Mgeni Rasmi,Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akimkabidhi Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BOT),Bwa.Benno Ndulu cheti chake cha heshima ,mara baada ya kuchangia Milioni Kumi kwenye hafla ya kukusanya
kiasi cha fedha zaidi ya shilingi milioni 100 kwa ajili ya kusaidia
matibabu ya Wanawake wenye matatizo mbali mbali,Anaeshuhudia pichani kulia ni Mke wa Makamu wa Rais,Mama
Asha Bilal,aidha katika tafrija hiyo iliyofana sana kiasi cha shilingi
milioni 142 na laki tano zimepatikana usiku huu,ndani ya hoteli ya
Serena,jijini Dar.
Mke
wa Makamu wa Rais,Mama Asha Bilal pichani kulia akizungumza
machache,ambaye pia alichangia kiasi cha shilingi Milioni mbili katika
hafla hiyo.
Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete wakipeana mkono wa pongezi na Mke wa Makamu wa Rais,Mama Asha Bilal kwa kuchangia kwake.
Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete wakipeana mkono wa pongezi na kumkabidhi cheti cha heshima Mke wa Makamu wa Rais,Mama Asha Bilal kwa kuchangia kwake
Mgeni Rasmi,Mke
wa Rais,Mama Salma Kikwete akimkabidhi cheti cha heshim mmoja wa
watangazaji wa kipindi cha Powerbreakfast kutoka Clouds FM,Said Bonge
a.k.a Bonge Barabarani ambaye pia alichangia kiasi cha shilingi laki
tisa.
Makofi ya pongezi na shukurani kwa Bonge Barabarani yakipigwa.
Mama
Salma Kikwete akimkabidhi mmoja wa Wakilishi wa Kampuni ya ndege ya
Flight Link cheti chake cha heshima ,mara baada ya kuchangia kiasi cha
fedha kwenye hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment