Mkurugenzi
wa Bendi ya Kalunde Deo Mwanambilimbi akiimba huku wacheza shoo wa
bendi hiyo Kushoto ni Queen Vero na kulia ni Frola Bamboocha wakati wa
onesho la Valentine lililofanyika kwenye ukumbi wa Trinit Oysterbay
jijini Dar es salaam usiku huu, Katika Onesho hilo pia bendi ya Kalunde
imetimiza miaka 7 toka ianzishwa na kusherehekea mwaka wake wa saba wa
utendaji wa kazi.
Mkurugenzi
wa bendi ya Kalunde Deo Mwanambilimbi kushoto Debora Nyangi Meneja wa
bendi hiyo pamoja na Mwapwani mwimbaji wa bendi ya Kalunde kwa pamoja
wakikata keki kuashiria sherehe za kutimiza miaka saba toka bendi hiyo
ianzishwe.
Meneja
wa Bendi la Kalude Debora Nyangi akimlisha keki Mkurugenzi wa bendi
hiyo Deo Mwanambilimbi katika onesho la Valentine na sherehe za utimiza
miaka 7 ya kuanzishwa kwa bendi hiyo.
Mkurugenzi
wa bendi hiyo Deo Mwanambilimbi akimlisha keki Meneja wa Bendi la
Kalude Debora Nyangi katika onesho la Valentine na sherehe za utimiza
miaka 7 ya kuanzishwa kwa bendi hiyo.
Debora Nyangi akimlisha keki Shekh Mwakichui mwimbaji na mpiga kinanda wa bendi ya hiyo
Debora Nyangi akimlisha keki Bon Kamprobo mpiga gitaa la solo maarufu wa bendi hiyo
Debora Nyangi akimlisha keki Bob Ludala mmoja wa waimbaji maarufu na makini wa bendi ya Kalunde.
Debora Nyangi akimlisha keki Eric mmoja wa mashabiki na wadau muhimu wa bendi ya Kalunde.
Mkurugenzi wa bendi ya Kalunde Deo
Mwanambilimbi akiwa katika picha ya pamoja na Debora Nyangi ambaye pia
ni Meneja wa bendi ya Kalunde na pia wakiwa wanamuziki waanzilishi wa
bendi wakiwa pamoja na Deo Mwanambilimbi mwenyewe.
Mashabiki
wa bendi ya Kalunde wakijimwaga stejini wakati bendi hiyo ikitumbuiza
kwenye ukumbi wa Trinit Oysterbay jijini Dar es salaam usiku huu.
Hapa ni Full Kushwangweka na Valentine kama wanavyoonekana katika picha mashabiki hawa wakiwa stejini.
Mnenguaji Frola Bamboocha akijimwaga na mmoja wa mashabiki wa bendi ya kalunde kwenye ukumbi wa Trinit Oysterbay usiku huu.
Hapa ni Burudani tu kama wanavyoonekana mashabiki hawa wa Kalunde Band.
Bamboocha na Shabiki wake hapa ni Full Mzuka hebu wacheki. Picha zote za JOHN BUKUKU WA FULLSHANGWE
No comments:
Post a Comment