Friday, February 22, 2013

Uzinduzi wa Nyumba za Makazi Levolosi

Majengo ya Nyumba za makazi za kuuza za Shirika la Nyumba Levolosi jijini Arusha, yanavyoonekana sasa.
Waziri Profesa Anna Tibaijuka akifuatilia kwa kina burudani zilizokuwa zikiendelea katika uzinduzi wa Nyumba za makazi za kuza za Shirika la Nyumba Levolosi jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Injinia Kesoukewele Msita akitoa hotuba katika uzinduzi wa Nyumba za makazi za kuza za Shirika la Nyumba Levolosi jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Injinia Kesoukewele Msita akitoa hotuba katika uzinduzi wa Nyumba za makazi za kuuza za Shirika la Nyumba Levolosi jijini Arusha.
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Kamanda Godbless Lema akitoa salamu za wakazi wa mkoa wa Arusha  katika uzinduzi wa Nyumba za makazi za kuuza za Shirika la Nyumba Levolosi jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu (kushoto), akiongozana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka (kushoto kwa Mkurugenzi Mkuu) katika uzinduzi wa Nyumba za makazi za kuuza za Shirika la Nyumba Levolosi jijini Arusha.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka (kulia) akikata utepe kuzindua Nyumba za makazi za kuuza za Shirika la Nyumba Levolosi jijini Arusha, kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Injinia Kesoukewele Msita.

Menejimenti ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka baada ya kuzindua Nyumba za makazi za kuuza za Shirika la Nyumba Levolosi jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na wananchi kwenye uzinduzi wa jengo la ubia la Palace Hotel, jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na wananchi kwenye uzinduzi wa nyumba za Makazi Levolosi, jijini Arusha.


No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...