Wednesday, February 06, 2013

Timu ya Taifa Cameroon Yawasili Nchini Kukipiga na Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)

 Meneja wa timu ya Cameroon, Rigobert Song (katikati) akiingia katika Ofisi za TFF wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
  Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu pambano lao na timu ya Taifa ya Cameroon utakaopigwa tarehe 6.2.2013.
 Nahodha wa Stars, Juma Kaseja akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
 Kocha wa timu ya Taifa ya Cameroon, Jean Paul akifafanua jambo. Kushoto ni Meneja wa timu hiyo, Rigobert Song na Nahodha wa timu hiyo, Pierre Wome.
 Meneja wa timu hiyo, Rigobert Song akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Katikati ni kocha Mkuu wa timu hiyo, Jean Paul na nahodha, Pierre Wome
  Meneja wa Cameroon, Rigobert Song akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Katikati Kocha Mkuu wa timu hiyo, Jean Paul na nahodha, Pierre Wome . Picha na Dande Junior

No comments:

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AMTEMBELEA MHE. FARIDA AMOUR MOH'D HOSPITALINI, AMTAKIA AFYA NJEMA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla , leo tarehe 21 Mei 2026 amemtembelea na kumjulia hali Mwakilishi wa Viti M...