Thursday, July 09, 2015

MATUKIO BUNGENI DODOMA

 
1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Futuma Mikidadi na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Utumishi ya Bunge,  Kitolina Kippa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)
2
Waziri Mkuu,Mizego Pinda akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo  (wapili kulia) na wabunge wa Viti Maalum (kutoka kushoto) Vicky Kamata, Fatuma Mikidadi, Mariamu Kisanji na Dkt Mary Mwanjelwa kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Julai 8, 2015.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

MTUHUMIWA WA “KUFUTA MADENI” YA MIKOPO AKIRI KOSA, AHUKUMIWA KIGOMA

KIGOMA, Septemba 4, 2026 — Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imemhukumu Nicholaus Komba Mahitana maarufu kama Abdallah Mahimbo baad...