Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele yawananchi na wanachama wa chama hicho katika kata ya Themi viwanja vya Trans Foma jijini Arusha katika mkutano wa wagombea 12 wa chama cha mapinduzi ,kuomba kura katika kata 25 ambapo katika kura ya maoni atapatikana mmoja wa kupeperusha bendera ya CCM Arusha mjini(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
Kijana aliyejitokeza kusikiliza sera za wagombea 12 wa CCM akisikiliza kwa makini wakati Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju akimwaga sera zake kwa wananchi wa kata ya Themi viwanja vya Trans Foma jijini Arusha
Wananchi na wananchama waliojitokeza kuwasikiliza wagombea Ubunge jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya chama cha mapinduzi
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Monaban yajijini Arusha,Philemon Mollel ambaye pia ni Mgombea Ubunge kupitia chama cha mapinduzi CCM akimwaga sera zake kwa wananchi na wanachama wa chama hicho kuomba ridhaa ya kuwatumikia katika nafasi ya Ubunge
Mtia nia nafasi ya Ubunge kupitia chama cha mapinduzi CCM Thomas Munisi a.k.a KOMANDOO akiwa anajinadi mbele ya wananchi kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM
Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele yawananchi na wanachama wa chama hicho katika kata ya Lemara jijini Arusha ,mkutano huo uliudhuriwa na wagombea ubunge 12 wa chama cha mapinduzi CCM
Picha ya pamoja wagombea Ubunge kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi katika ofisi ya CCM Wilaya mara baada ya kumaliza kijinadi katika kata 25 jijini hapa
Katibu wa wazazi Mkoa wa Arusha Mayasa Kimbau akizungumza katika mkutano wa kuwanadi wagombea Ubunge kupitia chama cha mapinduzi
MNEC wa Arusha mjini Godfrey Mwalusamba akiongea katika mkutano wa kuwanadi wagombea Ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM
Wagombea nafasi ya udiwani kata ya Themi
Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele yawananchi na wanachama wa chama cha mapinduzi
No comments:
Post a Comment