Monday, July 27, 2015

MADAKTARI WA DIASPORA WAKABIDHI MSAADA WA DAWA ZA MAGONWA YA BINAADAMU KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Jidawi akizungumza na Madaktari Diaspora kutoka Washington walipofika Afisini kwake kwa kujutambulisha ujio wao Zanzibar walioletwa na Jumuiya ya Watanzania Washington wakiwa chini ya uenyeji wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Diaspora Zanzibar na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ),wakiwa Zanzibar wametoa huduma ya kucheki waginjwa wa Kisukari na Meno na kutoa Elimu ya Afya Wanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Afya Mombasa Zanzibar.
 
Picha zote na OthmanMapara.Blog. Zanzinews.Com. 
Katibu Mkuu Dr Jidawi akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Madaktari hao walipofika Afisini kwake wakiwa na Ujumbe wa Watu 17 wakiwemo Madaktari wa Saratani ya Matiti kwa Kina mama, Kisukari na Meno.
Madktari wa Diaspora kutoka Washington wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar walipofika Afisi kwake 
Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu Mhe Salum Maulid Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Diaspora Zanzibar Ndg Adila Hilal Vuai wakiwa na wenyeji wao wakifuatilia maongezi na Dr Jidawi walipofika kuwatambulisha madaktari hao. kupitia Jumuiya ya Watanzania Washington.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...