Friday, July 17, 2015

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU WILAYANI MLELE- KATAVI

bai1bai2
Kabula Kalamu wa eneo la Lalanayo wilayani Mlele akitoka bombani kuteka maji   huku akiwa amembeba mgogongoni mwanae  Masunga Mayunga Jula 17, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
bai3
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa amekalia oja ya madwati mapya ya plastiki yaliyowekwa kwenye moja ya madara ya shuley amsingi ya Kakuni  wilayni Mlele akiwa katika mapumziko mafupi kijijini kwake Kibaoni Julai 16, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
bai4
Wanawake wa Kijiji cha Kibaoni wilayani Mlele wakielekea majumbani baada ya shughuli zao mbalimbali Julai 16, 2015. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
bai5
Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akikagua ujenzi wa nyumba wilayani Mlele Julai 16, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...