Friday, July 24, 2015

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU JOHN EDWARD MCHECHU


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Marehemu John Edward Mchechu ambaye ni baba wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Mchechu. Rais Kikwete alikwenda nyumbani kwa Mkurugenzi huyo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam julai 23, 2015  kumpa pole kufuatia kifo cha Baba yake aliyekuwa anaugua ugonjwa wa kiharusi. Picha zote za NHC.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akiifariji familia ya marehemu John Edward Mchechu Mbezi beach jijini Dar es Salaam Julai 23, 2015. (wapili kushoto) mtoto wa Marehemu ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bwana Nehemia Mchechu.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akiondoka mara baada ya kuifariji familia ya marehemu John Edward Mchechu (katika) mtoto wa Marehemu ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bwana Nehemia Mchechu.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijadliana jambo na Bw Mchechu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijadliana jambo na Bw Mchechu
 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akiwa na baadhi ya waombolezaji walipokuwa wakisubiria mwili wa marehemu Mzee Mchechu uliokuwa umehifadhiwa katika chumba cha maiti kwenye hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaaam
 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akiwa na baadhi ya waombolezaji walipokuwa wakifanya maandalizi ya kuupakia mwili wa marehemu Mzee Mchechu kwenye gari. Mwili huo ulikuwa umehifadhiwa katika chumba cha maiti kwenye hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaaam
 Msafara wa magari ukielekea nyumbani kwa Marehemu Mzee Mchechu Ukonga, Stakishari jijini Dar es Salaam.
 Mwili wa Marehemu ukiingizwa nyumbani kwake kwaajili ya kutolewa salamu za mwisho.

 Salamu za mwisho zikiendelea kwa ndugu jamaa na marafiki 
  Salamu za mwisho zikiendelea kwa ndugu jamaa na marafiki 
  Salamu za mwisho zikiendelea kwa ndugu jamaa na marafiki 
  Salamu za mwisho zikiendelea kwa ndugu jamaa na marafiki 
  Mwili wa Marehemu ukiingizwa katika Kanisa la Anglikana, Ukonga kwaajili ya misa ya wafu.



 Mchechu akizungumza na mchungaji wa kanisa la Anglikana Ukonga aliyeongoza misa hiyo ya wafu jana.
 Mchechu akimtambulisha kijana Oswald ambaye alikuwa msaidizi akimuuguza Mzee Mchechu kwa kipindi cha tangu mwaka 2010 mzee alipougua mpaka mauti yalipomkuta.
 Waombolezaji
 Mwili wa Marehemu ukiingizwa nyumbani kwa mwanaye Nehemia, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
Jaji Mark Bomani akiweka saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Marehemu John Edward Mchechu ambaye ni baba wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) Bw. Nehemia Mchechu. Rais Kikwete alikwenda nyumbani kwa Mkurugenzi huyo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam julai 23, 2015  kumpa pole kufuatia kifo cha Baba yake aliyekuwa anaugua ugonjwa wa kiharusi.
Jaji Mark Bomani, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) Bw. Nehemia Mchechu. Jaji Bomani alikwenda nyumbani kwa Mkurugenzi huyo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam Julai 23, 2015  kumpa pole kufuatia kifo cha Baba yake aliyekuwa anaugua ugonjwa wa kiharusi.
Marehemu amesafirishwa kuelekea Muheza, Tanga kwa ajili ya  Mazishi.  Mazishi yatafanyika Kijiji cha  Enzi, Muheza – Tanga siku ya kesho.
 Waombolezaji katika msima huo wakibadilishana mawazo wakati wakiwa nyumbani kwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na waombolezaji huku Bw Mchechu akiwatambulisha. Rais Kikwete alikwenda nyumbani kwa Mkurugenzi huyo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam Julai 23, 2015  kumpa pole kufuatia kifo cha Baba yake aliyekuwa anaugua ugonjwa wa kiharusi.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...