Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la nyumba NHC Nehemia Mchechu alipofika nyumbani kwake Mbezi Beach jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu Baba yake Mchechu.
Wakiuaga mwili wa Mzee John Edward Mchechu
Aliyewahi kuwa Waziri wa Sheria na Katiba, Harith Bakari Mwapachu akiuaga mwili wa Mzee Mchechu.
Mama Mchechu akiuaga mwili wa Mzee Mchechu.
Waziri wa Sheria na Katiba, Harith Bakari Mwapachu pamoja na Emmanuel Nchimbi wakiwa msibani.Mkurugenzi wa Shirika la nyumba NHC Nehemia Mchechu akitoa neno la shukurani baada ya kuagwa mwili wa marehemu.
Mdogo wa Marehemu akisoma
IGP Mstaafu, Said Mwema akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa; Rashid Othman wakifuatilia mwenendo wa mambo.
IGP Mstaafu, Said Mwema akitoa salamu za mwisho
Mkurugenzi wa Shirika la nyumba NHC Nehemia Mchechu akiongoza kwenda kwenye kuhitimisha safari ya marehemu baba yake duniani katika kijiji cha Enzi, Muheza Tanga.
Jeneza likishushwa kaburini
Makaburini kwenye kijiji cha Enzi Muheza, Tanga
No comments:
Post a Comment