Monday, July 27, 2015

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YATOA MAFUNZO KWA WACHIMBAJI WA MADINI WA MIRERANI

1
Afisa Madini Mkazi, Mkoa wa Kilimanjaro, Fatuma Kyando akielezea  sheria na kanuni za uchimbaji wa madini  nchini katika mafunzo  yaliyoshirikisha wachimbaji wa madini Mirerani kuanzia  Julai 25- 26  2015. Lengo la mafunzo hayo lilikuwa ni kuwapa uelewa juu ya  huduma za leseni kwa njia ya mtandao.
2
Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya Kaskazini Alex Magayane (kulia) akifungua mafunzo hayo.
3
Baadhi ya washiriki wa  semina hiyo wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zinawasilishwa kwa  nyakati  tofauti.
4
Mtaalam kutoka  Idara ya Madini, Wizara ya Nishati na Madini (kushoto) Pendo Elisha akitoa mada kuhusu  namna ya kujiunga na  huduma ya leseni kwa njia ya mtandao mbele ya wachimbaji wa madini (hawapo pichani) Kulia kabisa ni Mhandisi Migodi  katika Ofisi ya Afisa Madini  Mkazi –Mirerani, Fedrick  Phinius.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...