Wednesday, July 22, 2015

MCHECHU WA NHC AFIWA NA BABAKE MZAZI


Bw. Nehemiah Mchechu wa Dar es Salaam anasikitika kutangaza kifo cha Baba yake Mzazi Dr. John Edward Mchechu kilichotokea jana tarehe 21/07/2015 nyumbani kwake Ukonga, Dar es Salaam. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa mtoto wake Mbezi Beach, Plot 156, Beach Street.
Heshima za mwisho kwa marehemu zitatolewa nyumbani kwa mtoto wake Mbezi Beach, siku ya Ijumaa asubuhi na  kufuatiwa na safari ya kuelekea Muheza, Tanga kwa ajili ya  Mazishi.  Mazishi yatafanyika Kijiji cha  Enzi, Muheza - Tanga siku ya Jumamosi tarehe 25/07/2015.

Habari ziwafikie ndugu, jamaa  na marafiki wote wa Marehemu popote pale walipo.

1 comment:

Darren Demers said...

Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote wa Marehemu popote pale walipo.
king size bed protector cover ,
pintuck bedding king size ,

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...