Monday, July 20, 2015

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU ARUDISHA FOMU WENGI WAMPONGEZA

 Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abbas Mtemvu (wapili kulia), akirudisha  Fomu katika Ofisi za Chama hicho kwa Katibu wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Temeke Yona Sengerema (kulia) Dar es Salaam jana,hivyo mtemvu akiwa anatetea Jimbo lake tena . walio kushoto ni baadhi ya viongozi mbalimbali wa Jimbo la Temeke wa chama hicho waliomsindikiza mbunge huyo (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)
 Katibu wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Temeke Yona Sengerema (kulia) akihakiki Fomu za Mbunge huyo mara alipokuwa akirudisha Ofisini hapo
 
  Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abbas Mtemvu (wapili kulia aliye kaa) akiwa ofisini hapo 
 
  Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abbas Mtemvu (wa katikati) akiongea na waandishi wa habari mara alipo kuwa amewasilisha fomu.
 Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania, Mariam Kisangi, akiongea jambo  na waadishi wa habari mara baada ya Mbunge huyo kurudisha fomu 
 
Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abbas Mtemvu  akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa chama hicho.wakiwemo madiwani na wenyeviti walio msindikiza mbunge huyo
 
  Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi
(CCM) Abbas Mtemvu  akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama
wa chama hicho.wakiwemo madiwani na wenyeviti walio msindikiza mbunge
huyo

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...