Timu ya watu 39 Wakiwemo wakurugenzi wa Taasisi na wakurugenzi kampuni mbalimbali za nchini Afrika Kusini walipotembelea shule ya sekondari ya Mazoezi Darajani iliyopo Marangu wilaya ya Moshi. |
Baadhi ya wanafunzi katika shule ya sekondari ya Mazoezi Darajani iliyopo Marangu mkoani Kilimanjaro wakiwa darasani. |
Wananfunzi katika shule ya sekondari Darajani wakiwa katika mkusanyiko tayari kupokea wageni waliotembelea shule hiyo. |
Mhifadhi katika Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro,KINAPA ,Charles Ngendo akiwatambulisha wageni kutoka Afrika Kusini mbele ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Darajani. |
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,TANZANIA,(TANAPA) Allan Kijazi akiwa na ugeni kutoka nchini Afrika kusini walipotembelea shule ya sekondari ya Darajani iliyopo Marangu. |
Mkuu wa shule ya sekondari ya Darajani iliyopo Marangu,Mary Mlay akisoma taarifa ya shue hiyo mbele ya wageni waliotembelea shule hiyo. |
No comments:
Post a Comment