Monday, July 20, 2015

NYALANDU AKABIDHIWA MAGARI 50 NA PIKIPIKI MAALUM 30 KUAPAMBANA NA UJANGILI

NY1
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Balozi wa China nchini, Lu Youqing, wakikata utepe wakati wa makabidhiano ya msaada wa magari 50 na pikipiki maalumu 30 kwa ajili ya kusaidia vita dhidi ya ujangili. Pembeni ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Adelhelm Meru. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Makao Makuu ya wizara hiyo mjini Dar es Salaam.
NY2
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Balozi wa China nchini, Lu Youqing, wakikata utepe wakati wa makabidhiano ya msaada wa magari 50 na pikipiki maalumu 30 kwa ajili ya kusaidia vita dhidi ya ujangili. Pembeni ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Adelhelm Meru. Makabidhiano hayo yamefanyika jana katika Makao Makuu ya wizara hiyo mjini Dar es Salaam.
NY3
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Balozi wa China nchini, Lu Youqing, wakijaribu kuendesha pikipiki maalumu zitakazotumika kwenye vita dhidi ya ujangili. Serikali ya China imekabidhi msaada wa magari 50 na pikipiki hizo 30 pamoja na vifaa vingine kutokana na kuridhishwa na jitihada za serikali.
NY4
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Balozi wa China nchini, Lu Youqing na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Adelhelm Meru, wakiwa kwenye picha ya pamoja na askari wa wanyamapori wakati wa makabidhiano ya vifaa hivyo mjini Dar es Salaam.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...