Friday, July 17, 2015

ANSWAR-SUN WASWALI IDD EID FITRI JANGWANI DAR ES SALAAM LEO


 Amiri
wa Jumuiya ya Answari Suna Tanzania, Shekh. Juma Omari Poli (kulia), akiswalisha Swala
ya Iddi katika viwanja hivyo.
 Shekh
Hamid Abdallah, akitoa mawaidha wakati wa ibada ya Swala ya Idi katika Viwanja
vya Jangwani Dar es Salaam leo.
 Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye ibada hiyo.
 Waumini wa madhehebu ya Anwar-Suni wakiswali katika viwanja hivyo.

No comments:

DKT. BITEKO AWATAKA WANAWAKE KUWA MABALOZI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Wanawake kuwa mabalozi wa nishati safi ya kupikia, ili kuhakikisha...