Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)

Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) ,Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki na Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga wakionyesha jezi walizokabidhiwa na benki ya NMB kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro. (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) ,Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki na Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga wakiangalia vifaa vya michezo wakati wa hafla fupi ya makabidhianao ya vifaa hivyo vilivyotolewa na benki ya NMB kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro. (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
No comments:
Post a Comment