Thursday, July 16, 2015

WAPANGAJI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) JIJINI MBEYA WATOLEWA NJE.

Madalali wa mahakama wakitoa vitu nje kwenye moja ya  wapangaji wa shirika la nyumba la Taifa (NHC)jijini Mbeya .ambao wamekuwa wakidaiwa na shirika hilo (Picha na David Nyembe)
 
Baadhi ya wananchi wakishangaa zoezi la utoaji wa vitu nje kwa mpangaji wa NHC ambaye amekuwa akidaiwa muda mrefu na shirika hilo.

No comments:

BUNGE LAMTHIBITISHA NDEJEMBI KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS.

Waziri Mkuu asema anatosha, kiti kimempata mtu sahihi wa kumsaidia Mheshimiwa Rais. BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo (Ijumaa, Ag...