Friday, July 17, 2015

NEWZ ALERT:BANZA STONE AFARIKI DUNIA MCHANA HUU

Taarifa iliyotufikia chumba cha habari cha Globu ya Jamii hivi punde, inaeleza kuwa Mwanamuziki wa siku nyingi wa Muziki wa Dansi hapa nchini, Ramadhan Masanja "Banza Stone" amefariki dunia mchana huu nyumbani kwao Sinza karibu na Lion Hotel jijini Dar es salaam.

TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA BAADAE KIDOGO.

No comments:

SERIKALI, BARRICK ZAIMARISHA UBIA WA KIMKAKATI SEKTA YA MADINI

  Serikali na Kampuni ya Barrick Corporation zimeendelea kuimarisha ushirikiano wao wa kibiashara na uwekezaji katika sekta ya madini, huku...