Salam Sharaf Meneja wa Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) katika shughuli za kimataifa akizungumza na waandishi wa habari huku mwaamuziki huyo mwenye miwani akifuatilia wakati wa mazungumzo na waandishi wa habari kwa ajili ya kuwashukuru wadau wote wa muziki na mashabiki wake kwa mchango wao kutokana na ushindi wake alioupata katika tuzo za muziki za MTV Africa Music Awards. 2015 zilizofanyika katika jiji la Durban Kwazulu -Natal nchini Afrika Kusini Mwishoni mwa wiki iliyopita na kumfanya mwanamuziki huyo alishinda alishinda katika kipengere cha Mtumbuizaji Bora (Besta Live Act) katika tuzo hizo za MTV MAMA. Mkutano huo umefanyika kwenye hoteli ya Tansoma Kariakoo jijini Dar es salaam.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Salam Sharaf Meneja wa Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) katika shughuli za kimataifa akizungumza na waandishi wa habari huku mwaamuziki huyo mwenye miwani akifuatilia alipozungumza na waandishi wa habari kwa ajili ya kuwashukuru wadau wote wa muziki na mashabiki wake kutokana na ushindi wake alioupata katika tuzo za muziki za MTV Africa Music Awards. 2015 zilizofanyika katika jiji la Durban Kwazulu -Natal nchini Afrika Kusini Mwishoni
Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) akizungumza na waandishi wa habari huku akiwana tuzo yake aliyoipata nchini Afrika Kusini.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo uliofanyika kwenye hoteli ya Tansoma jijini Dar es salaam.
Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari huku katika mkutano huo.
Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) akipozi kwa picha mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam. wa pili kutoka kulia ni Mmoja wa mameneja wa Diamond Platnumz Bw. Said Fella.
Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) akipozi kwa picha na mameneja wake mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam. kulia ni Bw. Said Fella na kutoka kushoto ni Babu Tale na Sallam Sharaf.
Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) akipozi kwa picha na mameneja wake mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana. kulia ni Bw. Said Fella na kutoka kushoto ni Babu Tale na Sallam Sharaf.
No comments:
Post a Comment