Tuesday, July 14, 2015

WANARIADHA WA MITA MIA MOJA WA JESHI LA POLISI WAJIANDAA NA MASHINDANO YA MAJESHI YA POLISI KWA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA

6
Mwanariadha Mohamed Charles wa Jeshi la Polisi akifanya mazoezi jana katika uwanja wa taifa Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mashindano ya majeshi ya Polisi kwa nchi za kusini mwa Afrika yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu nchini Swaziland.
Picha na Frank Geofray- Jeshi la Polisi.
5
Mwanariadha Mohamed Mshamba wa Jeshi la Polisi akifanya mazoezi jana katika uwanja wa taifa Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mashindano ya majeshi ya Polisi kwa nchi za kusini mwa Afrika yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu nchini Swaziland.
4
Mwanariadha Silvester Simon wa Jeshi la Polisi akifanya mazoezi jana katika uwanja wa taifa Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mashindano ya majeshi ya Polisi kwa nchi za kusini mwa Afrika yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu nchini Swaziland.
3
Wanariadha wa mita mia moja wa Jeshi la Polisi wakifanya mazoezi jana katika uwanja wa taifa Jijini Dar es Salaam wakijiandaa na mashindano ya majeshi ya Polisi kwa nchi za kusini mwa Afrika yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu nchini Swaziland.

No comments:

SERIKALI, BARRICK ZAIMARISHA UBIA WA KIMKAKATI SEKTA YA MADINI

  Serikali na Kampuni ya Barrick Corporation zimeendelea kuimarisha ushirikiano wao wa kibiashara na uwekezaji katika sekta ya madini, huku...