Saturday, July 18, 2015

CATHERINE MAGIGE SASA KUWANIA UBUNGE VITI MAALUM UWT MKOA WA ARUSHA

SAM_3843

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akichukua fomu ya kuwania ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha, anayemkabidhi ni katibu wa (UWT)mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea jana katika ofisi za umoja huo jijini Arusha.
(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
SAM_3852
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akimkabidhi katibu wa (UWT)mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea kiasi cha shilingi laki moja kwaajili ya fomu  ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha,
SAM_3849
Catherine Magige akionyesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha,
SAM_3842
Catherine Magige akiteta jambo na akinamama waliokuja kumsindikiza kuchukua fomu,asisitiza kushirikiana na akinamama
SAM_3839
Catherine Magige akisalimiana na akinamama
SAM_3840
Catherine Magige akiingia katika jengo la CCM mkoa kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha,
SAM_3858
Hapa kampeni meneja wake Ezekiel akizungumza  na akinamama waliomsindikiza Catherine Magige kuchukua fomu ya nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha,

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...