Tuesday, September 02, 2014

RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA MARAIS NA PICHA NYENGINE MBALI MBALI

IMG_2875Waziri wa nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Bibi Fatma Fereji akiwa mwenyekiti katika sehemu moja ya Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa unaoendelea katika jengo ya Ukumbi wa Apia nchini Samoa,(kulia) Kaimu Sekretary (UN)  Bibi Erner Herity na (kushoto)Marrio Barthelemy  Mkurugenzi wa Uchumi na Mambo ya Kijamii,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_2915Wajumbe wa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa wakiwa katika ukumbi  wa jengo la Apia wakati michango mbali mbali ikitolea jana na Vingozi wa Nchi zilizoshiriki mkutano huo, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_2954Rais wa Serikali ya Visiwa vya Comoro Ikililou Dhoinine akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein   walipokutana kwa mazungumzo jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2958Rais wa Serikali ya Visiwa vya Comoro Ikililou Dhoinine akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein   walipokutana jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_2971Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Rais wa Seychels James Michel  walipokutana kwa mazungumzo jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...