Thursday, September 25, 2014

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA KILINDI

1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Kilindi Mh. Selemani Liwowa mara baada ya kupokelea katika kata ya Kwediboma wilayani Kilindi ambapo pia ameshiriki katika ujenzi wa msingi wa zahanati ya kata hiyo, akiwa katika ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo, Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye.2Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wakati alipowasili kwenye kata ya Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga.3Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki pamoja na wananchi katika ujenzi wa zahanati ya Kwediboma.4Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Ndugu Henry Shekifu7Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika ujenzi wa Maabara ya shule ya sekondari ya kata ya Kibrashi wilayani Kilindi.8Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi.9Vikundi vya ngoma vikitumbuiza katika mapokezi hayo.10Wananchi wakinyoosha mikono yao juu kuashiria mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati wa ziara yake wilayani Kilindi mkoa wa Tanga.11Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akiwahutubia Wananchi katika kata ya Kwediboma.12Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia Wananchi14tKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwaongoza Wananchi kula kiapo cha utii.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...