Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia ambaye pia ni Mbunge wa Kondoa Kusini ,akiongea na waandishi wa habari jana jijini Arusha katika studio za redio 5 zenye makao yake makuu njiro ambapo alisema kuwa hana mpango wowote wakugombea nafasi ya Urais 2015
Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa wanafanya mahojiano na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia jana jijini Arusha katika studio za redio 5
Mkurugenzi wa Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha Bw Robert Francis akiwa anamsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia wakati akizungumza na waandishi wa habari kulia ni mwandishi wa chanel Ten Jamilah Omary.
Mtangazaji wa redio 5 Mwangaza Jumanne akifanya mahojiano live na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia.
Kulia Mwanaisha Suleiman akiwa anafanya yake ndani ya studio za redio 5 mara baada Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia alipofanya ziara kituoni hapo
Muonekano wa studio ya Redio 5 wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia akifanyiwa mahojiano hewani na mtangazaji wa kituo hicho Mwangaza Jumanne
Meneja masoko wa Tan Communication media Bi.Sarah Keiya akiwa anasalimiana na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia
Mkurugenzi wa Radio 5 Bw Robert Francis akiwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia ofisini kwake mda mfupi kabla ya kuingia studio za redio hiyo
Katibu wa waziri Juma Nkamia Bw.Francis Songoro
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia akiongea na baadhi ya uongozi wa kituo hicho ambapo aliwapongeza kwa kazi nzuri ya utangazaji katika kuburudisha na hata kuelimisha jamii kupitia vipindi vyao mbalimbali
Meneja mbunifu wa redio 5 Vicky Mwokoyo wakiwa wanabadilishana mawazo na mtangazaji wa kituo cha Redio 5 Ashura Mohamed
John Mhala wa gazeti la Habari leo akiwa na mwandishi mwenzake wa mwananchi Happy Lazaro wakiwa wanabadilishana mawazo ndani ya jengo la Redio
Waandishi wa habari pamoja na mkurugenzi wa kituo cha redio 5 Bw.Robert Francis katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia, kulia ni mmiliki wa mtandao wa Jamiiblog Pamela Mollel.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia ambaye pia ni , Mbunge wa Kondoa Kusini aliipongeza kituo hicho cha redio kwa kazi nzuri ya kuburudisha na kuelimisha jamii kupitianvipindi vyake mbalimbali huku akiwataka kuandaa vipindi ambavyo vitawashirikisha wachezaji wazamani hali itakayosaidia kukuza na kuibua changamoto katika michezo(Habari Picha Pamala Mollel)
No comments:
Post a Comment