Saturday, September 27, 2014

YALIYOJIRI JANA JIONI BUNGE LA KATIBA

PG4A9843[1]Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba  (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A9894[1]Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A9890[1]Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda , Anna Abdallah (kushoto) na Ave maria Semakafu  wakizungumza kwenye viwanja  vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)
PG4A9894[1]Wajumbe wa Bunge  Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na  Haidar Madeweyya wakizungumza kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)
PG4A9943[1]
PG4A9944[1]
PG4A9946[1]Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Pindi Chana  wakiteta kwenye viwanja  vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A9960[1] Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta  na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick  Werema kwenye  viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...