Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Azikiwe, Fabiola Massula (kushoto) akizungumza wakati wa mashindano ya vipaji vya wanawake (WOMEN TALENT SYSTEM) ilifanyika Septemba 25,2014 katika Hotel ya JB BELMONT jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mshereheshaji wa shoo hiyo. Benki hiyo ni mmoja wa wadhamini wa shoo hiyo.Mkurugenzi wa Women Talent System, Angels Howell (katikati) akizungumza jambo kuhusiana shoo hiyo (kulia kwake), Meneja kutoka Mmi Tanzania, Paolo Frattari.Rais wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa Martina Maurizio (kushoto), akipiga makofi kushiria kufulaishwa na jambo wakati wa mashindano ya vipaji vya wanawake (WOMEN TALENT SYSTEM) ilifanyika Septemba 25,2014 katika Hotel ya JB BELMONT jijini Dar es Salaam.Wageni waalikwa pamoja na wasanii wakifuatilia shoo hiyo.Wacheza shoo walioandaliwa kutoa burudani wakionesha uwezo wao.Rais wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa Martina Maurizio akionesha uwezo wake wakuvunja vibao kwakutumia mkono.Profesa Martina Maurizio akionesha uwezo kwa jiwe lilokuwa limewekwa kifuani kwake na kunjwa kwakutumia nyundo.Profesa Martina Maurizio akionesha uwezo kwa jiwe lilokuwa limewekwa kifuani kwake na kunjwa kwa kutumia nyundo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment