Monday, September 22, 2014

KAMISHINA MKUU WA MAGEREZA, TANZANIA AKUBALI KUTENGA ENEO KWA NHC

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania, John Casmir Minja akijadiliana jambo na Meneja wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Arusha, Bw. James Kisarika kuhusu mahitaji makubwa ya maji kwa ujenzi wa mji wa Safari City. Kamishina alitoa maagizo siku hiyo hiyo kwa makamanda wake Mkoani waruhusu tufanye utafiti huo wa maji, wakati wakitembelea eneo ambalo Shirika la Nyumba limeomba kupatiwa sehemu ya kuchimba maji kwa ajili ya mradi mpya wa Safari City unao tegemewa kuanza Jijini Arusha.
 Meneja wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Arusha, Bw. James Kisarika akimwelekeza jambo Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania, John Casmir Minja wakati wakitembelea eneo ambalo Shirika la Nyumba limeomba kupatiwa sehemu ya kuchimba maji kwa ajili ya mradi mpya wa Safari City unao tegemewa kuanza Jijini Arusha.

Meneja wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Arusha, Bw. James Kisarika na Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania, John Casmir Minja wakitembelea eneo ambalo Shirika la Nyumba limeomba kupatiwa sehemu ya kuchimba maji kwa ajili ya mradi mpya wa Safari City unao tegemewa kuanza Jijini Arusha.

 Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania, John Casmir Minja na makamanda wake wakielekezana mipaka ya eneo hilo ambalo Shirika la Nyumba la Taifa limeomba.
Ujumbe wa Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania, John Casmir Minja na makamanda wake ukiwasili katika eneo hilo.
  Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania, John Casmir Minja na makamanda wake wakielekezana mipaka ya eneo hilo ambalo Shirika la Nyumba la Taifa limeomba.
 Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania, John Casmir Minja na menejimenti wakijadiliana jambo na Meneja wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Arusha, Bw. James Kisarika wakati wakitembelea eneo ambalo Shirika la Nyumba limeomba kupatiwa sehemu ya kuchimba maji kwa ajili ya mradi mpya wa Safari City unao tegemewa kuanza Jijini Arusha.
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania, John Casmir Minja na ujumbe wa makamanda wake wakijadiliana jambo na Meneja wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Arusha, Bw. James Kisarika wakati wakitembelea eneo ambalo Shirika la Nyumba limeomba kupatiwa sehemu ya kuchimba maji kwa ajili ya mradi mpya wa Safari City unao tegemewa kuanza Jijini Arusha.

No comments:

Rais Samia Aungana na Watanzania Kuadhimisha Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanMhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 12 Januari, 2025, ameungana na wananchi wa Zanzibar kusherehekea ...