Kutoka kushoto Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Bibi Anna T. Maembe na Naibu wake Bibi Nuru H.Millao wakipokea maelezo ya gari jipya (Toyota Land Cruiser) kutoka kwa mtaalam wa ununuzi wa UNDP Bw. Yona Samo ambaye alifika Wizarani kukabidhi gari hilo tarehe 17.9.2014. Katibu Mkuu Bi.Anna Maembe akiwa na Naibu wake akiwa akitoka kwenye gari baada ya kuliangalia gari hilo Mkuu wa kitengo cha Ununuzi WMJJW Bw. R.Mallya akikagua gari baada ya makabidhiano.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN UAPISHO WA RAIS WA MSUMBIJI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa zamani wa Msumbiji, Joaquim Chissano katika sherehe za kumwapisha Rais wa Msumbiji...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment