Wednesday, September 17, 2014

SHIRIKA LA NYUMBA MKOA WA MARA LAKABIDHI MASHINE ZA TOFALI

Wawakilishi wa NHC mkoa wa Mara wakiwa kwenye banda la maonyesho kwenye viwanja wilayani Bunda.(Picha zote za Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la Taifa)
 Meneja wa Mkoa wa Mara Frank Mambo akimpatia maelezo ya mradi  kiongozi wa mbio za mwenge Bi. Rachel  Kassanda.
Kiongozi wa Mbio za mwenge akipokea mashine hizo kabla ya kuzikabidhi kwa wakilishi wa vikundi vya vijana. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Bunda, Joshua Mirumbe.
 Wawakilishi wa vikundi vya vijana wakipokea mashine hizo toka kwa kiongozi wa mbio za mwenge.

Picha ya pamoja na wakilishi wa vikundi vya vijana. Katikati Meneja Mkoa, kulia nyuma ni Bw. Deogratius Bituro afisa matengenezo, kushoto ni Khalid Sobo-Driver, Bertha Maganira-PS na mwisho ni Marwa Mwita-Estate Officer incharge.    

No comments:

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI DODOMA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwin...