Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein mwenye tai nyekundu akimsikiliza Mkurugenzi mkuu wa wa Mamlaka ya kusimamiaUvuviwa Bahari kuu Tanzania Zahor Kassim Mohammed akielezea maswali mbalimbali kuhusiana na Usimamizi wa Uvuvi baharini katika Maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani huko Bwawani Mjini Zanzibar.Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wakwanza kushoto akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Bandari Kapten Ally Machano kuhusiana na uwakaji wa maboya yanayotumia Umeme wa Jua katika Maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani huko Bwawani Mjini Zanzibar.Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wakwanza kulia akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Bandari Kapten Ally Machano kuhusiana na uwakaji wa Maboya ya Zamani katika Maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani huko Bwawani Mjini Zanzibar.Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wakwanza kushoto akipata maelezo kutoka kwa Kamanda Mkuu wa Boti KMKM Luten Hassan Ali Makame kuhusiana na namna wanavyokabiliana na matukio mbalimbali ya baharini katika Maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani huko Bwawani Mjini Zanzibar.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment