Thursday, September 25, 2014

MICHUANO YA DR NDONDO CUPMWAKA SPORTS EXTRA KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA

Viongozi na wawakilishi wa timu shiriki za Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup wakizionesha jezi watakazozitumia katika michano hiy, inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi kesho Ijumaa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni jijini Dar es Salaam.
 Dr Mwaka (kulia), Dauda wakimkabidhi mwakilishi wa timu shiriki za Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup jezi.
Mdhamini Mkuu wa michuano ya  Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup ,Dr Mwaka akifafanua jambo mbele ya wanahabari kuhusiana na michuano hiyo inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi kesho Ijumaa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa Waratibu wa Mwaka Sports Extar Ndondo Cup  Alex Luambano kutoka Clouds FM (aliyesimama) akiwatambulisha baadhi ya waratibu, wasiamizi na Wadhamini  wa Dr Mwaka Sports Extar Ndondo Cup inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi kesho Ijumaa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa timu shiriki wa Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup wakiwa na waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo uliofanyika kwenye kiota cha maraha cha Escape One,Mikocheni jijini Dar. 
Mratibu wa Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup kutoka Clouds FM, Shafih Dauda akielezea ushiriki wa michuano hiyo kwenye Ufukwe wa Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam, inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi kesho Ijumaa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni jijini Dar es Salaam. 

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...