Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi mara baada ya kukagua jengo la wazazi katika hospitali ya wilaya ya Kisarawe jana wakati alipofanya ziara katika jimbo hilo ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake katika mkoa wa Pwani akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo pamoja na kuimarisha uhai wa chama, Katibu Mkuu huyo katika ziara hiyo anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC, Siasa, Itikadi na Uenezi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KISARAWE)Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Nape Nnauye kulia, na kada wa CCM Bw. Iddi Janguo mara baada ya kukagua ujenzi wa jengo la wazazi katika hospitali hiyo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimjulia hali mama mmoja anayeuguliwa na mtoto wake ambaye jina lake halikupatikana mara moja aliyelazwa katika hospitali ya Kisarawe wodi ya watoto wakati alipotembelea wodi hiyo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa moja ya majengo yanayokarabatiwa katika hospitali ya wilaya ya Kisarawe.Moja ya majengo yanayojengwa katika hospitali hiyo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiJengo jipya linalojengwa katika kata ya PalakaKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua ujenzi wa zahanati hiyo katika kijiji cha PalakaKatibu Mkuu wa CCM akishuhudia jinsi vijana wanavyofyatua matofali ya bei nafuu mradi ambao umebuniwa na Shirika la Numba kwa ajili ya kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali ya ujenzi wa maabara ya sekondari ya Gongoni Kata ya ManerumangoWananchi wa kata ya Manerumango wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Nape Nnauye Katibu wa NEC, Siasa, Itikadi na Uenezi wakati wa mkutano wa hadhara katika kata ya Manerumango, Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Mwinshehe Mlao.Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kisarawe Mzee Athman Janguo akisalimia wananchi huku Katibu wa CCM Mkoa wa Pwani Bi Joyce Masunga akiwa pembeni.Mkuu wa mkoa wa Pwani Mh. Mwantumu Mahiza akizungumza na wana Kisarawe katika mkutano wa hadhara uliofanyika Manerumango leoNape Nnauye Katibu wa NEC, Siasa, Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano huo.Umati uliohudhuria katika mkutano huoKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi na kuendesha mahakama ya wazi ya wananchi.Seleman Said Jafo mbunge wa jimbo la Chalinze akizungumza na wananchi wake katika kata ya ManerumangoKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikaliswa kwenye kigoda kama ishara ya upendo na kukubalika.Wana CCM wakila kiapo mara baada ya kupokea kadi zao za uanachama wa CCM.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WAZIRI MKUU AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Mheshimiwa Fujii Hisayuki (kulia kwake) na ujumbe ...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment