Mkuu
wa Wilaya ya Arusha mjini,John Mongela akisalimiana na Warembo
wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, walipomtembelea ofisini
kwake jijini Arusha. Warembo hao Septemba 27 wanataraji kupandaa jukwaani
kuwania taji la Miss Top Model litakalofanyika jijini Arusha.

Warembo wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa mAMLAKA ya maji safi na maji taka Jijini Arusha(AUWSA) walipowatembelea
Wakiwasili AICC
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss
Tanzania 2014, wakimsikiliza Ofisa Habari Mwandamizi na Itifaki wa Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Catherine Kilinda aliyekuwa
akiwapa maelezo mbalimbali kuhusina na kazi za kituo hicho walipokitembelea
jijini Arusha .Aliyevalia suti ni Rodney Thadeus Ofisa Itifaki.

Warembo wakiwa ndani ya Bunge la Afrika Mashariki (EALA)
Washiriki
wa shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, wakiwa katika picha ya pamoja huku
wakiwa na benbdera ya Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) walipotembelea Makao
makuu ya Jumuia hiyo jijini Arusha

Warembo wakisambaza upendo kwa Rodney Thadeus.
Comments