Thursday, September 25, 2014

WASANII WATINGA VIWANJA VYA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUSIKILIZA RASIMU ILIYOPENDEKEZWA

WASANII_6[1]
Msanii wa filamu nchini Tanzania maarufu kama Mzee Chilo akiwa katika picha ya pamoja na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Angellah Kairuki jana 24 Septemba, 2014 katika viwanja vya Bunge hilo mjini Dodoma.
WASANII_7[1]
Kiongozi wa msafara wa wasanii walifika katika Bunge Maalum la Katiba Bw. Simon Mwakifwamba akiwa katika picha ya pamoja na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Angellah Kairuki jana 24 Septemba, 2014 katika viwanja vya Bunge hilo mjini Dodoma.
WASANII_27[1]
Baadhi ya wasanii wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara (wa pili toka kushoto) wakati alipokutana nao maeneo ya viwanja vya bunge hilo jana 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.WASANII_10[1]
Baadhi ya Wasanii wakijadiliana jambo mara baada ya kutoka nje ya Bunge Maalum la Katiba jana 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
WASANII_33[1]
Wasanii wakiendelea kumsikiliza Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara wakati alipokutana nao maeneo ya viwanja vya bunge hilo jana 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
WASANI_50[1]
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara akiwa katika picha ya pamoja na wasanii maeneo ya viwanja vya bunge hilo jana 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...