Saturday, September 27, 2014

UJUMBE WA CHUO CHA WATAALAMU WA MAGONJWA CHA NCHI ZA MASHARIKI,KATI NA KUSINI MWA AFRIKA IKULU MJINI ZANZIBAR

IMG_7103Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Prof. Ephata Kaaya (kulia) akiongoza Ujumbe wa Chuo cha Wataalamu wa Magonjwa cha Nchi za Mashariki,kati na Kusini mwa Afrika ulipofika Ikulu mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais. [Picha na  Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_7125Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Chuo cha Wataalamu wa Magonjwa cha Nchi za Mashariki,kati na Kusini mwa Afrika unaoongozwa na Prof. Ephata Kaaya, (wa pili kulia)katika ukumbi Ikulu Mjini Zanzibar, [Picha na  Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_7130Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea Shahada ya Heshima kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Wataalamu wa Magonjwa cha Nchi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika Prof. Ephata Kaaya,  aliyotunukiwa na chuo hicho kumtambua kuwa yeye ni mwanataaluma wa fani hiyo na pia  katika kukuza na kuimarisha fani hiyo katika Ukanda huu wa Afrika. [Picha na  Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...