Friday, September 19, 2014

Mkurugenzi wa Fedha Felix Maagi afanya ziara ya miradi ya Monduli, Longido na Magereza Safari City

 Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akijadiliana jambo na Injinia Peter Mwaisabula na Amani Tongola kwenye eneo la ujenzi wa nyumba la Longido, Arusha. (Picha za Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la Taifa)
Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi wakikagua eneo la ujenzi la mradi wa nyumba za gharama nafuu Monduli, Arusha. Kushoto ni Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa Arusha, James Kisarika na Msimamizi wa Miradi wa NHC, Hassan Bendera.

Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akikagua eneo litakalotoa maji kwa ajili ya mji wa Safari City Arusha-Magereza,Arusha,
Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akikagua eneo litakalotoa maji kwa ajili ya mji wa Safari City Arusha-Magereza,Arusha

No comments:

MATUMIZI YA BARUTI YAONGEZEKA NCHINI

  MATUMIZI ya Baruti nchini yameongezeka kutoka wastani wa tani 3,000 kwa mwaka katika miaka ya 1990 hadi kufikia wastani wa tani 26,516.0...